Mbunge wa Likoni, Mishi Boko, amewataka Wakenya kujiepusha na vitendo vya kuwanyanyasa raia wa kigeni wanaofanya kazi nchini, akionya kuwa vitendo hivyo vinaweza kuharibu taswira ya Kenya kimataifa. Akizungumza huko Nyeri, mbunge huyo alisema Wakenya hawapaswi kutumia vibaya agizo la serikali linalowataka raia wa kigeni kurekebisha vibali vyao vya kazi, kuwalenga au kuwanyanyasa watu hao.
MISHI BOKO-HARRASS