PSG itaendelea na ulinzi wao wa taji usiku wa leo watakapowakaribisha Slovian Bratislava huku ligi ya mabingwa ikiingia siku ya pili, huku waliofika fainali msimu uliopita Arsenal ikicheza na Napoli ya Italia. Barcelona itawakaribisha Feyenoord ya Ducth, huku Liverpool ikiikaribisha Atletico Madrid na Stuttgert ikicheza na Viking ya Norway nayo Galatarasry ikipambana na Sporting Lisbon.

Kesho Manchester United itacheza na Sabah ya Ligi Kuu ya Azerbaijan huku Bayern Munich ikiikaribisha Bodo Glimnt nayo Como ikipambana na Leipzig. Feberbahce itacheza na Roma, huku PSV ikicheza na Shahktar Donesk nayo Slavia Praha ikiikaribisha Lens.




Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Meru, Isiolo na Marsabit.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.