Seneta wa Homa Bay Moses Kajwang anahoji jinsi Rais William Ruto anavyoweza kudai SHA inafanya kazi huku wauguzi na wakunga wakiendelea kugoma. Kajwang anasema mgomo unaoendelea unaibua maswali kuhusu upatikanaji wa huduma za afya chini ya SHA. Wauguzi na wakunga wamekuwa kwenye mgomo kwa zaidi ya siku 40, wakidai serikali ishughulikie wasiwasi wao na kuboresha mazingira yao ya kazi.

MOSES KAJWANG – STRIKE