Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Ghebreyesus anasema kupunguzwa kwa ufadhili wa kimataifa wa afya kumefichua udhaifu katika muundo wa afya duniani. Tedros anasema nchi nyingi zinakabiliwa na vikwazo vya kifedha, changamoto za kisiasa na vitisho vinavyohusiana na hali ya hewa. Anasema WHO inafanya kazi ili kuwa imara zaidi na huru baada ya kupanua wigo wake wa wafadhili na kuongeza michango ya nchi wanachama. 

TEDROS GHEBREYESUS – CUTS