Baadhi ya wanaharakati wanatishia kuhamasisha maandamano Alhamisi hii ikiwa kile wanachokielezea kama zoezi la kutishia kuwalenga wahamiaji wa Kiafrika kitaendelea. Wanaharakati hao wanasema watawahamasisha Wakenya na Waafrika kote barani kupinga hatua hiyo. Wameionya serikali dhidi ya kutekeleza zoezi hilo, bila kutaja maelezo zaidi kuhusu hatua iliyopangwa.
VOX POP – DEMOS