Unatumia dakika ngapi kufanya mazoezi kwa wiki? Rais wa Chama cha Wanatiba wa Viungo Kenya, Erastus Osewe, anawashauri watu kuendelea kufanya mazoezi kwa angalau dakika 150 kila wiki ili kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa na kiharusi. Anasema mazoezi ya kawaida, lishe bora na usingizi mzuri pia vinaweza kusaidia kupunguza hitaji la huduma za tiba ya mwili.
ERASTUS OSEWE - MINUTES