Kocha Mkuu wa Pyramids FC, Rulani Mokwena, amempongeza beki wa Gor Mahia, Frank Odhiambo, kwa uchezaji wake mzuri kufuatia mechi yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) katika Uwanja wa Nyayo Jumapili. Wamisri waliishinda Gor 2-0 katika uwanja wa Nyayo na watashiriki katika kukamilisha kazi yao wikendi ijayo jijini Cairo. KO´gallo lazima washinde kwa angalau mabao mawili ili kufuzu kwa raundi inayofuata.

ROLANI MOKOENA - CAF




Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.

Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.