Katibu wa Mambo ya Nje Korir Sing’Oei ameomba msamaha kwa raia wa Burundi nchini Kenya kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni yanayohusiana na msako wa serikali dhidi ya wafanyabiashara wa kigeni wasio na vibali. Akizungumza pamoja na Balozi wa Burundi Evelyne Habonimana, Sing’Oei alikiri kuwepo kwa amani kwa muda mrefu kati ya Warundi na Wakenya. Alifafanua kwamba agizo hilo lililenga wageni wanaoendesha biashara ndogo bila leseni zinazohitajika na sio raia wan chi fulani,

 

KORIR SING'OEI - OMBA