Rais William Ruto amepokea na kuidhinisha hati za utambulisho za wajumbe wapya kutoka Thailand, Brazil, Nigeria, Cyprus, Ubelgiji, Sudan Kusini, Ufaransa na Austria. Pia ameidhinisha hati za utambulisho za mwakilishi mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Kenya. Wajumbe hao watawakilisha rasmi serikali zao husika na kuendeleza maslahi ya nchi zao huku wakiimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano na Kenya.

VOX POP-CREDENTIALS