Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amemwambia kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua aache kutaja jina lake, akimtuhumu kwa kutumia usaliti katika shughuli zake za kisiasa. Nyoro anasema ikiwa Gachagua anataka kurudi kwenye kambi ya Rais William Ruto, anapaswa kufanya hivyo kwa amani bila kuwavuta wengine katika suala hilo. Hivi majuzi Gachagua alimshutumu Nyoro kwa kuwa mdukuzi anayedaiwa kulipwa shilingi milioni 200 ili kudhoofisha kura za Mlima Kenya.

NDINDI NYORO – GACHAGUA