Waziri Mkuu Musalia Mudavadi ametoa wito kwa nchi za Afrika kuimarisha sera, sheria na taasisi ili kufungua mitaji zaidi kwa ajili ya maendeleo. Mudavadi anasema nchi lazima zifanye kazi pamoja na kuhamasisha taasisi kufanya maamuzi ya busara na kutenga mitaji kwa ufanisi. Anasema kwamba njia mbadala za ufadhili ni muhimu ili kufadhili programu za maendeleo, akionya kwamba kutegemea kupita kiasi kodi kunaweza kuzidisha chuki ya umma na kudhoofisha mageuzi.
MUSALIA MUDAVADI – POLICIES