Kanisa limeendelea kulaani visa vinavyoongezeka vya utekaji nyara nchini, likitoa wito kwa mamlaka kutetea haki za kikatiba za uhuru wa kujieleza na kujumuika. Askofu Mkuu wa ACK Jackson Ole Sapit alielezea utekaji nyara huo kama usio wa kimaadili na kinyume cha katiba, akisisitiza kwamba Wakenya hawapaswi kutishwa au kunyanyaswa kwa kutumia uhuru wao wa kikatiba. Aliwataka mamlaka kuheshimu haki za raia na kuhakikisha kwamba wale wanaotoa maoni yao wamelindwa.
OLE SAPIT- CONDEMN