Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka ameishutumu serikali ya Rais William Ruto kwa kuunda migogoro isiyokuwepo, kufuatia msako wa serikali dhidi ya raia wa kigeni wanaojihusisha na biashara ya uchuuzi na biashara ndogo. Kalonzo alisema jinsi msako huo ulivyokuwa ukitekelezwa ulionyesha ukosefu wa mkakati na akaonya kwamba mbinu ya serikali inaweza kuongeza mvutano kati ya jamii na nchi jirani.

VOX POP – BURUNDIANS