Watu walio katika mahusiano ya unyanyasaji wameshauriwa kuweka kipaumbele usalama wao badala ya kuhisi kushinikizwa kuondoka mara moja. Mwanasaikolojia Silas Kiriinya anasema waathiriwa wanaokabiliwa na vurugu au vitisho wanapaswa kwanza kuandaa mpango wa usalama na kutafuta msaada kutoka kwa watu au wataalamu wanaowaamini. Kiriinya anaonya kwamba kutangaza mipango ya kuondoka kunaweza kuongeza hatari ya vurugu. 

SILAS SIKIINYA – LEAVE