Serikali iko tayari kushughulikia ukame unaokuja kufuatia kipindi kirefu cha ukame ambacho kimeharibu mazao na kuibua wasiwasi kuhusu usalama wa chakula katika sehemu kadhaa za nchi. Mbunge wa Baringo Kaskazini Joseph Makilap aliwahakikishia Wakenya kwamba Bunge limetenga fedha za kuwasaidia na kuwalisha wale ambao wanaweza kuathiriwa na ukame. Pia aliwasihi wakulima kupanda mazao ya muda mfupi kwa ajili ya kujiandaa kwa mvua inayotarajiwa ya El Niño.

JOSEPH MAKILAP – ASSURANCE