Rais William Ruto ametetea udhamini wa Ushuru wa Matengenezo ya Barabara, akisema fedha hizo zinasaidia miradi ya ujenzi wa barabara kote nchini. Akizungumza huko South Horr, Kaunti ya Samburu, Ruto alisema Sh bilioni 4.8 zimetolewa kwa miradi ya barabara za lami katika kaunti hiyo na kuahidi kuhakikisha maendeleo ya serikali yanafika kila sehemu ya Kenya.
WILLIAM RUTO - SECURITISATION