Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameelezea ajenda ya chama chake kuhusu elimu, huduma za afya, ulinzi wa vijana na biashara, huku akitoa wito wa umoja wa upinzani kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Kiongozi huyo wa Chama cha Peoole's Party alisema kipaumbele cha chama kitakuwa kutoa elimu ya msingi bila malipo kuanzia Januari mwaka 2028, ikiwa ni pamoja na lishe kwa wanafunzi, bila kuanzisha kodi mpya.
NDINDI NYORO – SERA