Kaunti ya Nairobi itahitaji gavana mwenye ujuzi wa kisiasa na usimamizi imara ili kusimamia rasilimali na watu wake kwa ufanisi. Mchambuzi wa siasa Martin Andati anasema kaunti hiyo inadhibiti zaidi ya asilimia 60 ya utajiri wa Kenya, akionya kwamba kumchagua gavana ambaye ni mwanasiasa tu kunaweza kuwa janga. Hii inakuja huku zaidi ya wanasiasa watano wakionyesha nia ya kugombea kiti cha gavana wa Nairobi.
MARTIN ANDATI – GOVERNOR