Sare mpya inaweza kuboresha taswira ya polisi, lakini mageuzi ya kina ya kitaasisi yanahitajika. Mchambuzi wa usalama George Musamali anasema Huduma ya Polisi ina taswira chafu kwa umma na kubadilisha rangi na mwonekano wa sare kunaweza kusaidia kubadilisha mtazamo wa umma. Hata hivyo, anasema kwamba hili lazima lifuatwe na hatua dhidi ya maafisa wahalifu na mageuzi yanayolenga mwenendo na taaluma ya huduma hiyo.

GEORGE MUSAMALI – REFORMS