Kenya inageukia nchi jirani ya Uganda ili kupunguza uhaba unaoongezeka wa usambazaji wa maziwa humu nchini. Waziri wa Biashara Lee Kinyanjui alithibitisha kwamba serikali inafikiria uagizaji wa maziwa kutoka Uganda, akikiri kwamba Kenya kwa sasa haiwezi kukidhi mahitaji yake ya ndani. Kinyanjui alisema Uganda ndiyo chaguo pekee linalofaa la kushughulikia uhaba huo.
LEE KINYANJUI – MILK