Wawakilishi wa wasi wa Machakos wamemtuhumu Gavana Wavinya Ndeti kwa kusababisha mgogoro bandia kuhusu bajeti ya kaunti, wakisisitiza kwamba kaunti hiyo ina mpango wa kifedha ulioidhinishwa kikamilifu kwa mwaka wa fedha wa 2026/27. Wakiongozwa na Kiongozi wa Wachache na MCA wa Kinanie Francis Kavyu, walipuuza madai kwamba Bunge la Kaunti lilikuwa limezuia bajeti hiyo, wakisema takwimu zilizoidhinishwa zinatoa mfumo wazi wa kifedha kwa serikali ya kaunti kufanya kazi.

 

FRANCIS KAVYU – NDETI