Waziri wa Afya Aden Duale ameitaka tume ya IEBC kutekeleza jukumu lake chini ya miongozo ya kisheria iliyoainishwa inapojiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027. Alimtaka Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon na Makamishna wote kuendelea kuzingatia jukumu lake kuu na kuonyesha uwazi katika shughuli zake zote, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uchaguzi.

ADEN DUALE – 2027