Katibu wa TVET Esther Muoria amesema Serikali itaunda mfumo na ushirikiano ili kusaidia kuwezeshwa kwa shule zinazowahudumia wanafunzi wenye mahitaji maalum. Akizungumza wakati wa ziara yake katika Shule ya walemavu wa kusikia ya St Luke huko Mbeere Kusini, Kaunti ya Embu, Muoria alisema idara yake kwa sasa haina mfumo unaoiruhusu kusaidia taasisi, hasa zile zilizo chini ya Idara ya Elimu ya Msingi.

ESTHER MUORIA - FRAMEWORK