Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amewasihi wanasiasa kutafuta uungwaji mkono wa umma kupitia njia za amani, kidemokrasia na zinazozingatia masuala kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza huko Embobut, Kaunti ya Elgeyo Marakwet, Murkomen alionya kwamba Serikali haitavumilia ushindani wa kisiasa unaozidi kuwa vurugu. Alisema watu walioajiriwa kuvuruga mikusanyiko ya umma watafuatiliwa na kufikishwa mahakamani.
KIPCHUMBA MURKOMEN - TUOMBE