Maelfu ya wauguzi na wakunga kutoka kote nchini wanatarajiwa kukusanyika jijini Nairobi hii leo kwa maandamano makubwa ya kuishinikiza serikali kushughulikia malalamiko yao. Katibu Mkuu wa Chama cha Wauguzi na Wakunga cha Kenya Seth Panyako anasema takriban wafanyakazi 200 wa afya kutoka kila kaunti wanatarajiwa kushiriki. Maandamano hayo yataanza katika Green Park kabla ya kuelekea jijini hadi katika taasisi muhimu za serikali.
Advertisement
September 3, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing