Pendekezo la serikali kwamba wageni wanaofanya kazi za kawaida nchini wanawanyang'anya Wakenya kazi si sahihi. Mwanauchumi Charles Karisa anasema serikali inapaswa badala yake kuhesabu ni Wakenya wangapi wanaofanya kazi hizo, na kama kazi hizo ndizo ambazo Wakenya wanazitafuta. Anaongeza kuwa hisia hizi zinaweza kuwa na athari mbaya kwa uhusiano wetu wa kidiplomasia.

CHARLES KARISA – WON’T