Je, uko kwenye uhusiano na mtu ambaye anakunyanyasa kwa maneno, kimwili na kihisia, lakini anasisitiza kubaki na matumaini kwamba atabadilika na mtaoana baadae? Mtaalamu wa mahusiano Wanjiku Waititu anakushauri ufikirie upya, akisema uwezekano wa mpenzi anayekunyanyasa kubadilika ni mdogo. Anaonya kwamba kubaki katika uhusiano kama huo kunaweza kuwa hatari, bila kujali ni kwa muda gani mmekuwa pamoja.
WANJIKU WAITITU - WOUNDS