Vijana wameshauriwa kutathmini kiwango chao cha kujitambua kabla ya kuingia katika mahusiano ya kimapenzi. Mtaalamu wa mahusiano Wanjiku Waititu anasema kujitambua huwasaidia watu kuweka mipaka, kusimama imara na kufuata malengo yao wanapokuwa katika uhusiano.

WANJIKU WAITITU - AWARENESS