Rais William Ruto ameagiza msako dhidi ya raia wa kigeni wanaoendesha biashara ndogo nchini Kenya, akiielekeza serikali kuanza zoezi hilo Jumatatu ijayo. Ruto alisema wageni wanaofanya biashara ndogo watafungiwa, akisema biashara kama hizo zinapaswa kutengwa kwa ajili ya Wakenya. Alisema bunge pia linazingatia Muswada wa Maudhui ya Ndani, 2025, na marekebisho ya Sheria ya Ununuzi wa Umma ili kukuza ajira za ndani na kuzuia ushiriki wa wageni katika sekta kadha.

WILLIAM RUTO - LOOPHOLES