Kiongozi wa Chama cha People's Party Ndindi Nyoro, amelaani madai ya vitisho dhidi ya waandishi wa habari na kutoa wito wa uwajibikaji zaidi kutoka kwa taasisi za serikali kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Akizungumza wakati wa ziara katika Mji wa Githumu, eneo bunge la Kandara, Nyoro alisema waandishi wa habari lazima waruhusiwe kutekeleza jukumu lao la kikatiba la kuwafahamisha Wakenya na kuwawajibisha walio madarakani.

NDINDI NYORO - UKWELI