Naibu Rais Kithure Kindiki amewasihi Wakenya kushirikiana na maafisa wa usalama na usimamizi wa majanga na kufuata maagizo ya usalama ili kuzuia vifo wakati wa mvua inayotarajiwa ya El Niño. Kindiki alisema serikali ina hatua zilizowekwa za kuwalinda raia, huku akizihimiza kaunti kuimarisha maandalizi kwa kufungua mifumo ya mitaro ya maji na kushiriki taarifa muhimu za usalama katika ngazi ya mashinani.
KITHURE KINDIKI - EVACUATION