Tume ya haki za binadamu KHRC imetilia shaka mashtaka ya washukiwa wanaohusishwa na utekaji nyara wa hivi karibuni, licha ya polisi kuahidi kufanya uchunguzi wa kina. Mkuu wa Mawasiliano wa KHRC Ernest Konel anasema polisi mara nyingi huahidi uchunguzi ili kuwatuliza umma na kuokoa muda, lakini katika visa vingi, hakuna washukiwa wanaokamatwa au kufikishwa mahakamani.

ERNEST KONEL-CONDUCT