Tume ya Haki za binadamu ya Kenya (KHRC) imelaumu kupuuzwa kwa sheria, kwa madai ya kuundwa kwa vikosi maalum vya polisi ili kuwanyamazisha wakosoaji wa serikali. Mkuu wa Mawasiliano wa KHRC Ernest Cornell anasema mwelekeo huo, ambao umeendelea kwa miaka mingi, unaweza kuisha tu ikiwa utawala wa sheria utafuatwa kikamilifu, na kuhakikisha hakuna mtu anayetekwa nyara kwa kukosoa serikali.
ERNEST CORNELL –BLAME