Chama cha Wauguzi Nchini kimeapa kuendeleza mgomo wake wa kitaifa hadi wiki ya tano, kikisisitiza mgomo huo utaisha tu baada ya Baraza la Magavana kukubali kutia saini na kutekeleza CBA yao. Katibu Mkuu wa chama hicho Seth Panyako alisema makubaliano yamefikiwa kuhusu kuajiri wafanyakazi wa kudumu chini ya mpango wa huduma za Afya kwa Wote, lakini kutokubaliana kunaendelea kuhusu utekelezaji wa CBA iliyotiwa saini.

SETH PANYAKO - AGREED