Nandi, Garissa na Wajir zimeorodheshwa miongoni mwa kaunti zinazopiga hatua kubwa zaidi katika huduma ya afya. Utafiti wa hivi karibuni wa Infotrak CountyTrak Performance Index unaonyesha kwamba kaunti hizo tatu zimeboresha miundombinu ya matibabu na upatikanaji wa huduma za afya ya umma kwa kiasi kikubwa. Katika kilimo, Homa Bay iliibuka kuwa kaunti inayofanya vizuri zaidi huko Nyanza.
ANGELA AMBITHO – COUNTIES