Waziri wa Biashara Lee Kinyanjui ametoa wito wa kuwepo kwa siasa thabiti ili kulinda imani ya wawekezaji. Aliwaonya viongozi dhidi ya kuruhusu tofauti za kisiasa za ndani kuingilia uwekezaji nchini.

LEE KINYANJUI – INVESTORS