Rais William Ruto kesho anaanza ziara ya maendeleo ya siku nne katika eneo la Ukambani, itakayohusisha kaunti za Machakos, Makueni na Kitui. Ziara hiyo itajikita katika masuala ya barabara, nyumba za bei nafuu, maji, upatikanaji wa umeme, na umiliki wa ardhi. Rais pia atazindua mradi wa kiwanda cha saruji katika Bonde la Mui, mradi unaotarajiwa kuleta ajira na kuchochea shughuli za kiuchumi. Ziara hii inadhihirisha dhamira ya serikali ya kupanua miundombinu, kuboresha huduma za umma, na kukuza maendeleo yenye usawa katika eneo hilo.
Advertisement
October 23, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 23RD OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing