Dhana potofu na imani zisizo sahihi kuhusu kigugumizi zinawazuia baadhi ya wazazi kutafuta matibabu ya mapema kwa ajili ya watoto wao. Mtaalamu wa tiba ya lugha na usemi, Catherine Nzau, anasema baadhi ya wazazi huhusisha hali hiyo kimakosa na vyakula vilivyoliwa wakati wa ujauzito. Anaweka wazi kuwa kigugumizi hakiathiri akili, lakini kinaweza kuleta changamoto katika kazi zinazohitaji kuzungumza mara kwa mara.

CATHERINE NZAU – STUTTERING