Wahudumu wa usafiri wa umma wanaotoa huduma za masafa marefu na usiku wameagizwa kuhakikisha madereva wamepumzika vya kutosha na wako tayari kuendesha gari wakati wa msimu wa sikukuu. NTSA inasema waendeshaji lazima watoe mipango sahihi ya safari, mapumziko na madereva wabadilishwe ili kupunguza ajali zinazohusiana na uchovu. Mamlaka hiyo inaonya kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya waendeshaji wanaohusishwa na ukiukwaji unaoendelea, ikiwa ni pamoja na mwendo kasi, kubebe mizigo kupita kiasi na kuendesha gari kiholela.
Advertisement
October 23, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 10AM 23RD OCT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing