Waziri Mkuu Musalia Mudavadi, ametoa wito wa kuimarishwa kwa uwajibikaji, utawala shirikishi, na mageuzi katika taasisi za kimataifa. Amesema kuwa imani ya umma inaweza kurejeshwa tu pale viongozi watakapoonyesha uadilifu, haki, na matokeo yanayoonekana. Akizungumza katika Mkutano wa Trust Summit) jijini Nairobi, Mudavadi alionya kuwa kupungua kwa imani ya umma kunatishia misingi ya taasisi, ustawi wa kiuchumi, na ushirikiano wa kimataifa.

MUSALIA MUDAVADI – TRUST