Rais William Ruto amethibitisha haki ya kikatiba ya Wakenya ya kuhoji maamuzi ya serikali, kudai uwajibikaji na kushinikiza utawala bora. Akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mashujaa jana huko Eldoret, Ruto alisema kushinda uchaguzi hakuondoi haki ya raia ya kuwawajibisha viongozi au kupinga maamuzi yanayofanywa na walio madarakani.

WILLIAM RUTO-DEMAND