Chama cha Wauguzi cha Kitaifa kinahimiza serikali kuimarisha uchunguzi katika maeneo ya mpakani ili kugundua Ebola mapema na kuzuia kuenea kwake. Akizungumza mjini Kisumu, Katibu Mkuu wa Muungano wao Seth Panyanko alisema Kenya iko tayari kudhibiti Ebola na mikurupuko mingine ya magonjwa, akitaja upatikanaji wa wafanyakazi wa afya waliofunzwa vizuri ili kusaidia juhudi za kukabiliana na dharura na kulinda afya ya umma.
SETH PANYAKO - REPORT