Rais William Ruto amemkosoa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akisema kwamba amejiaibisha kwa kukwamilia uongozi wa Chama cha Jubilee. Akizungumzia uamuzi wa mahakama wa Jumatatu uliomzuia Uhuru kuendelea kama kiongozi wa Jubilee, Ruto alisema rais mstaafu ameidhalilisha ofisi ya urais. Alizungumza wakati wa ziara yake ya maendeleo katika Kaunti ya Siaya.


WILLIAM RUTO - REBEL