Huku mgomo wa wauguzi ukiingia wiki yake ya tano leo, Naibu Rais Kithure Kindiki anatoa wito wa kutatuliwa kwa haraka kwa mvutano huo. Akizungumza wakati wa mkutano wa Baraza la Bajeti na Uchumi la Serikali Mbalimbali asubuhi ya leo, Kindiki aliliagiza Baraza la Magavana na SRC kushughulikia masuala yaliyoibuliwa na wahudumu wa afya na kuhakikisha huduma za afya zinarejeshwa.


KITHURE KINDIKI – STRIKE