Kenya imetia saini makubaliano na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani Pfizer ili kupunguza gharama ya kutibu saratani kadhaa kwa zaidi ya mara saba, huku baadhi ya dawa zikishuka kutoka Sh milioni 1 hadi chini ya Sh50,000 kwa kila mzunguko. Rais William Ruto alitangaza makubaliano hayo baada ya kukutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Pfizer Albert Bourla katika Ikulu ya Nairobi. Mkataba huo unashughulikia matibabu ya saratani ya matiti, tumbo, utumbo mpana, mapafu, kibofu na umio, pamoja na Leukemia, lymphoma na myeloma.
Advertisement
September 1, 2026
1 min read
Related Topics
Facebook
Loading...
Loading next article...
You've reached the end
Browse all articles
Advertisement
Suggested Articles
SPOTI 8AM 1ST SEPT
1 min
Newsletter
Get the latest sports stories delivered straight to your inbox.
Now Playing