Kenya inaongeza juhudi za kuunganisha tiba asilia na mbadala katika mfumo mkuu wa huduma za afya ifikapo mwaka 2028. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Tiba Asili ya Kiafrika katika makao makuu ya KEMRI, Waziri wa Afya Aden Duale alisema serikali, watafiti, kaunti na wataalamu wa tiba asilia wanashirikiana kuhakikisha kwamba tiba asilia ni salama, zina ufanisi na zinaungwa mkono na ushahidi wa kisayansi.
ADEN DUALE - INTERVENTION