Rais William Ruto amefanya uteuzi mkubwa katika taasisi muhimu za umma. Rais amemteua Duncan Ojwang kuwa Mwenyekiti wa IPOA kwa kipindi cha miaka sita. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa KNUT Wilson Sossion na Florah Nduku pia wameteuliwa kuwa makamishna wa TSC.