Kukataa juhudi za mpenzi wako kujaribu kutatua mzozo kwa kumnyamazia kunaweza kuitwa unyanyasaji wa kihisia. Mtaalamu wa mahusiano Moffat Kago anasema wanandoa au walio kwenye mahusiano wanapaswa kuwa tayari kwa hatua yoyote ya kutatua migogoro, kwa heshima na ndani ya muda unaofaa.
MOFFAT KAGO – ABUSE