Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amelaani shambulio la Jumamosi dhidi ya Gavana wa Siaya, James Orengo, ikiwemo kuchomwa kwa gari lake na kurushiwa vitoa machozi. Akizungumza huko Tala, Kaunti ya Machakos, Kalonzo aliita tukio hilo kuwa ukiukaji mkubwa wa Katiba na ishara ya kuongezeka kwa kutovumiliana kisiasa. Pia alihoji ununuzi wa sare mpya za polisi, akidai uwazi kuhusu zabuni na matumizi.

KALONZO MUSYOKA - WIZI