Brentford wamefikia makubaliano ya mdomo na West Ham kumsajili beki El Hadji Malick Diouf katika mkataba wenye thamani ya hadi pauni milioni 40. Beki huyo wa kushoto wa Senegal mwenye umri wa miaka 21 atagharimu pauni milioni 35 za awali, na pauni milioni 5 zaidi kama nyongeza. Hammers wamekubali ofa ya Brentford na Diouf ameidhinishwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu leo. Diouf alicheza katika mechi ya West Hama ya ufunguzi dhidi ya Burnley, lakini ametengwa kwenye vikosi vya siku ya mechi katika mechi mbili zilizopita za Hammers.
Vipindi vya anga kavu vinashuhudiwa Machakos, Kibwezi na Kitui.
Ili kupata habari zaidi tembelea tovuti ya radiojambo.